NYAMAKA TWEVE ANIMATION

Wednesday, May 30, 2012


WEMA SEPETU AVISHWA PETE NA MWINYI KUTOKA MACHOZI BAND -NEW MAISHA CLUB USIKU HUU


Mtu mzima Mwinyi akaenda chini pwaaaa...


Akakumbatiwa watu weweeeeeee


Heeeh si akaweka pete kidoleni pale kabaaaaaaa

Mabusu hihaaaaa, watu pipoooo

Monday, May 28, 2012


MLIPUKO WA MABOMU WATOKEA NCHINI NAIROBI, KENYA


Mpaka sasa watu wapatao 30 wamejeruhiwa baada ya mlipuko uliotokea Moi Avenue-Nairobi, Kenya na kusababisha baadhi ya majengo kushika moto; idadi hiyo imetolewa na NTV ya nchini Kenya. Chanzo cha mlipuko huo hakijafahamika mpaka.
 Watu wakiwa na mshangao nje ya barabara.
Majeruhi wakiingizwa kwenye gari la wagonjwa kukimbizwa hospitari.

Friday, May 25, 2012


WAREMBO KURASINI WATEMBELEA NAEEMS CLASIC WAER

Warembo wa Miss Kurasini 2012 ambao leo wanataraji kupanda jukwaani kuwania taji la Redds Miss Kurasini 2012 wakiwa katika moja ya Maduka ya Mzamini wao Mkuu NAEEMS CLASIC WAER  lililopo Kariakoo Mtaa wa Pemba na Msimbazi jijini Dar es Salaam.

Warembo hao walitembea Duka hilo linalouza mavazi, urembo na vitu vingine mbalimbali vinavyouzwa katika Duka hilo kali na la aina yake jijini.

NAEEMS CLASIC WAER wakali wa pamba na viatu vya uhakika pia wanapatikana Mikocheni Barabara ya Zamani ya Bagamoyo mkabala na Shule ya Msingi Feza.
 Hakika ni pamba za ukweli zilizopo NAEEMS CLASIC WAER na hapa warembo wakizikubali

Warembo wa Redds Miss Kurasini leo watapanda jukwaani kuwania taji hilo huku Mdhamini Mkuu akiahidi zawadi kem kem.
 
  • Viatu navyo vipo vya uhakika katika maduka yote mawili ya NAEEMS CLASIC WAER yaliyopo jijini Dar es Salaam pale Kariakoo na Mikocheni.

Monday, May 14, 2012


SEBASTIAN NDEGE NA JUSTICE NDEGE WAWASHA MOTO JIJINI DAR NA KITU CHA SKY LIGHT PARTIES

 Sebastian Ndege(kulia) akiwa na wadau.
   Justin Ndege (kushoto) akiwa na wadau wa Kampuni ya Sky Light Entertainment ambao ndio waandaaji wa SKYLIGHT Parties itakayofanyika jijini Dar es Salaam kila mwezi mara moja katika kumbi mbalimbali za jijini la Dar es Salaam.
  Warembo wakindaa Cocktail kwa Wageni waalikwa katika Pre Launch ya Skylight Parties iliyofanyika Nyumbani Lounge jijini Dar es Salaam.
 DJ Too Short akifanya mixing za ukweli Nyumbani Lounge.
  Warembo wakindaa Cocktail kwa Wageni waalikwa katika Pre Launch ya Skylight Parties iliyofanyika Nyumbani Lounge jijini Dar es Salaam

Monday, May 7, 2012


Mariah Carey & Nick Cannon Renew Vows On Fourth Wedding Anniversary




Singer Mariah Carey and Nick Cannon renewed their wedding vows on the top of the Eiffel Tower in Paris Friday.

The singer, who married Cannon in a surprise ceremony in the Bahamas four years ago - took to twitter to celebrate the night.

"Tonight was an incredible night. I can't express how amazing it was to renew our vows in Paris at the top of the Eiffel tower," she wrote, reports contactmusic.com.

"Thank you so much to all the fans who came out as always and showed their love and support. I love you!(sic)," she tweeted.

Cannon- who has recently battled health problems - admitted he continued to be amazed by his marriage to Carey, with whom he has nearly one-year-old twins Moroccan and Monroe.

"We get married every year; it's our thing. I just have to keep doing it to make sure it's real," he said.
Happily ever after

Alicia Keys na Swizz Beatz wamekuza mtoto!


Salute!
Alicia Keys na mumewe Swizz Beatz walikuwa pamoja na mtoto wao Egypt katika uwanja wa Madison Square Garden kushuhudia timu waipendayo ya New York Knicks.


Na familia ya Bwana Swizz haikuwa nyuma kumswaggisha kijana wao sare za pamba za Jeremy Scott Adidas na bandana ya blue! Swaag!


Alicia aliolewa na Swizz mwenye watoto wanne wa mama wanne tofauti mwaka jana.



Kofia ya Baba

Rick Ross amsainisha Omarion MMG

Rick Ross ameendelea kuiimarisha kambi yake ya Maybach Music kwa kumsainisha Omarion.

Kwa uamuzi huo, yeye, Wale, Meek Mill na French Montana wana uhakika wa kupata hook ama chorus za nguvu kutoka kwa mtu wa nyumbani.
 “Kwanza kabisa nataka kumshukuru kila mmoja kwa kuja, si tu katika wakati huu muhimu sana katika maisha yangu ya muziki, lakini kwa siku hii special ya muziki” member huyo wa zamani wa B2K aliwaambia watu waliouhudhuria. “Kwa Rozay, nimefurahi sana. Leo nimekuwa mwanaume niliyetengenezwa”

"Nimleta Miami na akanichezea record kadhaa na nilishangazwa na nyimbo alizokuwa nazo, nyimbo alizokuwa anazifanyia kazi, nyimbo alizokuwa anaandika” alisema Rozay. Uchezaji wake si wa kawaida, ni muigizaji, ni mwandishi, nafikiri utakuwa ni uamuzi mzuri kwetu wote. Nimekuwa nikitafuta jinsi ya kupata records za R&B na nilihisi alikuwa msanii bora kufungua milango iliyowazi katika hilo. Nadhani maadili yake ya kazi na project yake zitaongea zenyewe”.

Wakati anaitangaza habari hii kwenye conference The Boss alikuwa amesindikizwa na mogul wa muziki nchini Marekani na ambaye Forbes imemtaja kuwa na hela katika game Diddy pamoja na Swizz Beatz.


Pia alitangaza kuwa albam yake ya God Forgives, I Don't itatoka mwezi July, lakini kutakuwepo na fujo nyingi kutoka kwa kambi ya MMG ikianza albam ya Maybach Music's Self Made Vol. 2 June 26, French Montana atafuatia na albam yake Excuse My French July 17 na baadaye  Meek Mill akidondosha yake Dreams and Nightmares August 28.

Saturday, May 5, 2012


HAWA NDIO MASTAR SABA WATAKOSHIRIKI BIG BROTHER AFRIKA


 

                                                                  Barbz kutoka south africa(mwanamitindo na mfanyabiashara)
                                       Goldie kutoka Nigeria(mwimbaji)

                            Dkb kutoka Ghana(mchekeshaji wa stand up comedy)
                                             Mampi kutoka zambia(mwimbaji)
                                                Mwimbaji Lady may kutoka Namibia

Cmb prezzo kutoka Kenya (mwanamuziki)

                                                                                               Rocki kutoka Zimbwabwe(mwanamuziki)

BREAKING NEWS kutoka multichoice big brother afrika inaanza jumapili itakuwa na mastar kadhaa wa afrika ambao wataingia na kushiriki yaani sio kwa kipindi kifupi kama wengi watakavyodhani ni watakuwa miongon mwa washiriki

Tanzania haijawekwa kwenye list kati ya mastar hao saba na hakuna taarifa yeyote a ziada lakini huenda BBA wanapanga kutufanyia suprise


DIAMOND KUSAIDIA KITUO CHA YATIMA-MAUNGA



 Msanii wa Muziki wa kizazi kipya Diamond akiingia kituo cha kulea watoto yatima kiitwacho Maunga Center kilichopo karibu na kituo cha polisi cha Hananasif, Kinondoni jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kwenda kutoa msaada wa vyakula. Ambapo kituo hicho kina watoto wapatao 40.
Diamond akiwa amembeba mmoja ya watoto wanaolelewa katika kituo hicho.
Umati wa watu pamoja na watoto walioungana kumshuhudia Diamond. 
Diamond akishuka kwenye gari.
Baadhi ya mizigo ambayo ilitolewa kama msaada katika kituo hicho ikiwa bado haijashushwa kwenye gari.
Diamond akishauriana kitu na meneja kitu wake Joff.…

 Kulikuwa na Red Carpe
 Mama Lolaa akirudishwa kukaa na warembo
 Nyie mnatetea nini hapa
 Cloud12 akiwa katika pozi na Wema
 Nikiwa na Rachel tumekula pozi
 Wolper na Sandra