Dr Slaa katikati ya msafara wa CUF jana Jumapili!
Umati
wa wafuasi wa Chama cha Wananchi CUF hii leo umejitokeza kumpokea Mwenyekiti wa
Chama hicho Profesa IBRAHIM LIPUMBA aliyekuwa nchini Marekani kwa kazi maalum
aliyopewa na Umoja wa Mataifa kwa lengo la kuangalia njia bora zinazoweza
kutumika katika kurekebisha uchumi wa dunia uliporomoka hususani kwa mataifa
yanayoendelea.
Akizungumza Mara baada ya kuwasili, nchini, Prof LIPUMBA amesema kuwa atatumia fursa aliyopata mara baada ya kuteuliwa na umoja huo katika kushauri namna ya kuboresha uchumi wa nchi kufuatia kuwa miongoni mwa mataifa yanayoendelea

No comments:
Post a Comment