NYAMAKA TWEVE ANIMATION

Monday, June 25, 2012


UZINDUZI WA WEMA SEPETU


 Hongera Wema Sepetu kwa kuandaa shughuli kubwa iliyokusanya mastaa wengi wa tasnia ya movie bongo pamoja na bongo fleva katika uzinduzi wa cinema mpya ya Wema inayokwenda kwa jina la Super Star, nakupa hongera tena kwa kuweza kumleta msanii mkubwa wa kike kutokaNollywood Omotola kwa ajili ya kuweza kushuhudia uzinduzi wa cinema hiyo ya Super Staar

Hapa tukiingia ndani ya ukumbi wa Kempick ulipofanyika uzinduzi huo wa Super Star...

 
 Irene paul kijana niliyemuibua katika ulimwengu wa movie ni tunda langu ili sasa yupo ndni ya Red Carpet akipiga picha bongo siku hizi kama ulaya tu

The Power naye akiwa ndani ya Red Carpet

 The Greatest.

Pozi la The Greatest

 
 Kupa.

 Hatman Mbilinyi.

 Shilole wa kwanza kushoto  akiwa na Mainda wakihojiwa machache kuhusu uznduzi wa bonge la movie la Super Star.

 Ommy Dimpoz.

Vijana mpendeza saaaaana

 
 Beny Kinyaiya.

 The Greatest nikiwa na Richie na Barnaba.
                                      
Mtitu akiwa na Mwana FA na Dimpoz.

 Ben Kinyaiya,Hartaman pamoja na Chalz Baba mwanamuziki wa Mashujaa Band...

                        
A.Y mwanamuziki wa kizazi kipya

                                               
 Izzo Bizness.

Vijana wa Bongo Movie 

The Power akiwa na Mama Loraa.


 Tht show

Jenifer Kyaka(Odama) akiwa na The Greatest bata likiendelea.
 
Ulifika muda wa kuangalia Movie ya Wema Sepetu(Super Star).


Mambo yakiendelea..

Wema Sepetu akifuatilia cinema yake
 Hatari mchezo umeanza


Baada ya watu kuangalia movie burudani ikaendelea, hapa lina akipiga show ya nguvu

No comments:

Post a Comment