NYAMAKA TWEVE ANIMATION

Monday, March 12, 2012


Dr Slaa katikati ya msafara wa CUF jana Jumapili!
Umati wa wafuasi wa Chama cha Wananchi CUF hii leo umejitokeza kumpokea Mwenyekiti wa Chama hicho Profesa IBRAHIM LIPUMBA aliyekuwa nchini Marekani kwa kazi maalum aliyopewa na Umoja wa Mataifa kwa lengo la kuangalia njia bora zinazoweza kutumika katika kurekebisha uchumi wa dunia uliporomoka hususani kwa mataifa yanayoendelea.
Akizungumza Mara baada ya kuwasili, nchini, Prof LIPUMBA amesema kuwa atatumia fursa aliyopata mara baada ya kuteuliwa na umoja huo katika kushauri namna ya kuboresha uchumi wa nchi kufuatia kuwa miongoni mwa mataifa yanayoendelea

Monday, March 5, 2012

Ni katika hakikisha mapambo yako sawa,,,,,KIUKWELI NIMEPUNGUA ::Nimeloose 4 KG hapo nilikuwa nacheat.
STAGE ZILIKUWEPO MBILI MAHSUSI KWA TV NA PICHA
VIFAA VYA UKWELI VYA KUYATREAT MANYONYO.....PIGA  SIMU HII NA UPITE BLUE PALACE UELEZEWE
PEDICURE NA MANICURE NDO HAPA KWENYEWE, UTAHUDUMIWA NA MDADA WA KICHINA ALOFUZU MASUALA HAYO. KALETWA TOKA HUKO KUKUHUDUMIA WEYE KUCHA ZA KILA AINA  HUTENGENEZWA BLUE PALACE
PIA WANAVIFAA MAALUM KWA AJILI YA KAZI HIYO HAWABAHATISHI VIFAA VILIVYOTHIBITISHWA NA MABEAUTICIAN DUNIANI
                              NYWELE AINA ZOOTE KUANZIA DREAD,LACE WIG, MIBANO NA MICHANO SAMBAMBA NA KUSHONEA NA KUSUKA UTAHUDUMIWA 
BLUE PALACE
MANDHARI YA SALON
VITANDA VYA NIVYAKAZI IYO NI MAALUM
Mh. Leticia Nyerere (kulia) akiwa na Linah mwimbaji ambe yuko juu Bongo kwenye anga za Bongo Flava anaetamba na wimbo wake mpya wa Fitina ambao upo juu sasa hivi Bongo nyimbo zingine ni Lonely,atatamani, angalau, sitaki kuumizwa alioimba na Sajna,wrong number alioimba akishirikiana na Barnaba, Linah ameingia Ijumaa March 2, 2012 tayari kwa kuanza Tour ya USA                                  Linah (kushoto) akipata picha ya pamoja na Alawi                               Linah (kulia) akipata picha ya pamoja na Mercy LigateMpwa (kulia) nae akiwa kwenye Kaukodak na Linah (wa pili toka kulia) wengine ni Helena Nyerere (kushoto) na Julia.Kutoka kushoto ni Mercy Ligate, Linah, na Alawi
Linah (kushoto) akiwa na wanaDC Alawi (kati) na Mercy Ligate.
Linah is taking her amazing vocal talents on the road March 2012 through May 2012. Her tour will kick off in Washington, DC on March 10th and cover 12 cities before it ends May 2012.
Now is the time for one of Tanzania’s greatest young upcoming artists to bring her talent to the United States. Linah is bringing her fans, old and new, in the states an evening they will long remember. DON’T MISS ANY OF HER TOUR DATES!!! Saturday, March 10, 2012, Washington, D.C.Saturday, March 17, 2012, Philadelphia, Pennsylvania Saturday, March 24, 2012,New York City, New York, Saturday, March 31, 2012, Detroit, Michigan. Saturday, April 7, 2012, Chicago, Illinois , April 14, 2012, Columbus, Ohio , April21, 2012, Charlotte, North Carolina.Saturday, April 28, 2012, Atlanta, Georgia. Saturday, May 5, 2012, Miami, Florida Saturday, May 12, 2012, Houston, Texas. Saturday, May 19, 2012, Las Vegas, Nevada .Saturday, May 26, 2012, Los Angeles, California

Bishop Augustine Mpemba ambaye ni mmiliki wa KWA NEEMA FM ya jijini Mwanza, akiwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete tarehe 4/02/2012 wakati wa maadhimisho ya miaka 35 ya chama cha Mapinduzi yaliyofanyika Kitaifa jijini Mwanza.Askofu mpemba alikuwa miongoni mwa wageni waalikwa katika maadhimisho hayo
Mama Diana Mwakasege akiwa na Mch Kimaro na Nyuma ni mtumishi wa Mungu Mwl Mwakasege

Kanisa la Calvary Temple lililo chini ya TAG,Jumapiliyaleo tarehe 4/03/2012 limebarikiwa kwa kutembelewa na Mwalimu Christopher Mwakasege aliye hudumu ibada zote tatu na kutumiwa na Mungu sana katika kuleta mafunuo mapya ndani ya waamini. Mwalimu ametoa ujumbe wake wenye kichwa kinachosema Panua mahali pa hema yako ili upako uzidi katika maisha yako. Ujumbe huu katika biblia ulikusudiwa kwa mwanamke mjane tena aliyekuwa kijana lakini ndani yake akiwa na ndoto ya kuwa na familia kubwa. 


Baada ya mume wake kufa alipunguza ukubwa wa hema uake akijua kwamba hakuna jinsi tena ya kuifanikisha ndoto yake.
Ukisoma vizuri katika ujumbe huu kutoka Isaya 54: 3-6 utaona kwamba Mungu alimwambia mjane huyu asiogope maana yeye ndiye Mume wake kama sote tunavyojua yeye ni mume wa wajane na hivyo akamwambia PANUA MAHALI PA HEMA YAKO NA WAYATANDAZE MAPAZIA YA MASKANI YAKO; USIWAKATAZE, Ongeza urefu wa kamba zako, vikaze vigingi vya hema yako, kwa maana utaenea upande wa kuume na kushoto, na wazao wako watamiliki mataifa.

Yapo mafunuo mengi zaidi yaliyo ambatana na ujumbe huu ambayo mwalimu alifunuliwa na kuongea nasi. ukitaka kubarikiwa zaidi fika kanisani ujipatie DVD yenye ujumbe huu.Kwa ufupi ni kwamba kuna mahali ulitakiwa kufika na bado hujafika na kuna kiwango cha hatua ya kimaisha haya ya mwili au kihuduma ulitakuwa kufika lakini bado hujafika, kwasababu hema yako umeikunja badala ya kupanua mahali pake ili iwepo nguvu ya kukufikisha mahali unapopaswa. You are not the real you! you do miss something. Consider fore to extend the place for your tent for God to increase you.