Monday, April 09, 2012
Waziri Mkuu Mizengo Pinda Asaini Kitabu Cha Maombolezo ya Aliyekuwa Mwigizaji Mahiri Nchini,Marehemu Steven Kanumba na Kuelekea Mkoani Dodoma Kuhudhuria Kikao cha Bunge Kinachotarajiwa Kuanza Aprili 10, 2012
Waziri
Mkuu,Mizengo Pinda akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma,
Dkt.Rehema Nchimbi baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma
Aprili 9,2012 kuhudhuria kikao cha Bunge kinachotarajiwa kuanza
Aprili 10, 2012
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisaini kitabu cha maombolezo ya aliyekuwa
mwigizaji mahiri nchini, marehemu Steven Kanumba, nyumbani kwake,
Sinza jijini Dar es salaam, Aprili 9, 2012
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya waombolezaji wakati
alipokwenda nyumbani kwa marehemu Steven Kanumba Sinza jijini Dar es
salaam Aprili 9, 2012 kutoa pole kwa ndugu na jamaa wa marehemu.Picha na
Ofisi Ya Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment