Watangazaji
wa Clouds Fm 88.4 jijini Dar es Salaam kutoka kushoto ni Paul James
'PJ', Babra Hassan na Jerald Hando. wakitangaza kipindi cha Power
Breakfast ndani ya viwanja vya Mnazi Mmoja wakati wa kuzindua vipindi
vipya vitakavyokuwa vikiruka mara kwa mara 'live' kutoka mtaani. Watangazaji
wa Clouds Fm 88.4 jijini Dar es Salaam kutoka kushoto Dina Marious na
Geah Habib wakiwa katika furaha viwanjani hapo kabila hawajaanza
kuendesha kipindi cha Leo Tena. Kutoka kulia ni Babra Hassan na Jerald Hando. Babra Hassan na Jerald Hando wakiwa na fundi mitambo. Mkuu wa vipindi wa Clouds Fm 88.4 Sebastian Mganga akiongea na (Kutoka kushoto) ni Jerald Hando, Paul James 'PJ', Babra Hassanbra na Bonge.
Bonge leo alikuwa akireport habari za barabarani akiwa kwenye helcopter sambamba na kibonde.
Pj aliperuzi na kudadisi kama kawa..
Tukio hili linafanyika leo latika viwanja vya mnazi mmoja
No comments:
Post a Comment