NYAMAKA TWEVE ANIMATION

Wednesday, February 29, 2012

WANAMEREMETA
ALLAN LUCKY a.k.a SKONGA 
NA HAIKA SAMWELI
Mtangazaji wa East Africa TV Bw. Allan Lucky Komba ambay
Bwana Harusi akimvisha pete mkewe
e pia ni Rais wa wanafunzi a.k.a SKONGA
Sasa ni mwili mmoja
akila kiapo cha ndoa iliyofungwa mwishoni mwa wi
Maharusi wakikata Cake. Kwa picha zaidi
ki hii katika ukumbi wa The Stalion jijini Dar es Salaam.

MWIZI APATA  KICHAPO KWA KOSA LAKUIBA NYAMA

Monday, February 27, 2012

Monday, February 27, 2012

WIZARA YA AFYA YAPOKEA MSAADA WA VIFAA VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYAWaziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Hadji Mponda (wa pili kushoto) akipokea msaada wa vifaa vya kutolea huduma za afya zikiwemo dawa za kutibu ugonjwa wa kichocho na maabara ndogo za kubaini dawa zilizotengenezwa chini ya kiwango (dawa feki) kutoka Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa kampuni ya Ujerumani ya MERCK inayoshughulika na utengenezaji wa dawa za binadamu,vifaa tiba na kemikali Dkt.Karl-Ludwig Kley leo jijini Dar es salaam. Vifaa hivyo vitasambazwa katika hospitali mbalimbali nchini na vituo vya afya vilivyo mipakani

Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Klaus-Peter Brandes (kulia) akitoa ufafanuzi kwa Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Hadji Mponda juu ya dawa zilizotolewa leo jijini Dar es salaam na kampuni ya Ujerumani ya MERCK inayoshughulika na utengenezaji wa dawa za binadamu,vifaa tiba na kemikali.Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Kinga Dkt. Peter Mmbuji.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Hadji Mponda(katikati) akiwa na Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Kinga Dkt. Peter Mmbuja wakifuatilia maelezo ya kitabu cha mwongozo wa maabara ndogo inayohamishika ya kubaini dawa zilizotengenezwa chini ya kiwango (dawa feki) yaliyokuwa yakitolewa na balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Klaus-Peter Brandes.

  Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia mkono kuwaaga wananchi wa Botswana wakati akiondoka nchini humo kurejea jijini Dar es Salaam leo.Kushoto kwake ni Mwenyeji wake, Rais wa Botswana,Luteni Jenerali Seretse Khama Ian Kham
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Mh. Meck Sadick, wakati alipowasiri nchini leo akitokea nchini Botswana alikohudhuria Sherehe za Miaka 50 ya kuzaliwa kwa Chama Tawala cha nchi hiyo.Wengine Pichani ni Viongozi Mbali mbali wa Serikali waliofika kumpokea Rais Kikwete leoa.
 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mwenyeji wake Rais wa Botswana Seretse Khama wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Sir Seretse Khama jijini Gaberone, Botswana, leo kwa ziara ya kikazi ya siku mbili, ambapo pia atahudhuria katika sherehe za miaka 50 ya Chama tawala cha Botswana  DEMOCRATIC PARTY Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na mwenyeji wake Rais wa Botswana, Seretse Khama, baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Sir Serese Khama jijini Gaberone
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na mwenyeji wake Rais wa Botswana, Seretse Khama huku wakifuahia ngoma
Wananchi wa Botswana akipeperusha bendera kama ishara ya mapokezi kwa Rais Jakaya Kikwete wakati alipokuwa akiwsili kwenye uwanja w
Rais Jakaya na Rais wa Botswana wakipita katika gari la wazi wakati wakiingia uwanjani hapo.
a ndege wa nchi hiyo leo ya asili ya makhirikhiri ya Botswana.

Thursday, February 23, 2012

 Kama kawaida wadau nilisema kuwa mwaka huu ni mwaka wa mabadiliko kwa kampuni yako ya RJ company, Tutafanya mambo makubwa katika tasnia yetu ya filamu nilisafiri na kushuka na vifaa vya nguvu hapa ni kazi mambo mengine no watu watasema kwa kazi tu, wadau tegemeeni mambo mapya katika mzigo huu mpya unaopikwa na vijana wako wanaofanya kazi kwa kujituma
 Mambo yakiendelea ,,,,,,, Mambo yakiendelea ,,,,,,,
 Mambo yakiendelea ,,,,,,,
 Mambo mengine haya jamani hili ni Dolly mara nyingi utumiwa katik
 Hii ni monitor kwa ajili ya kuhakiki picha kama iko sawa mara nyingi
 Haya kazi nyingine hiyo mimi ufanyaga vitu kwa vitendo na sio maneno hiki kifaa kinaitwa Steady Cam matumizi yake katika scene za kutemb
 Baba na Mwana, humu ndani ni hatari sana
 Mambo hayo
 Cheki watu wailvyokuwa makini
ea barabarani, kukimbia na mambo mengineyo mengi
 ON SET
utumia kwa nje ndani huwa natumia tv
 Vijana kazini
a shorts za kutembea na kuleta radha tofauti kabisa


Mbunge wa Mbeya Mjini Mh. Josephu Mbilinyi 'Sugu' (kushoto), akiwa kwenye kikao cha usuluhisho na Mkurugenzi mwandamizi wa Clouds Media, Rugemalila Mtahaba, kilichofanyika jana.


KWANZA  poleni na samahanini kwa hali ya sintofahamu iliyotokea leo kutokana na taarifa za ghafla za usuluhishi kati yetu na Ruge/Clouds FM, ni kutokana na unyeti wa issue yenyewe ilibidi tufanye hivyo kwa nia njema kabisa...

Kwanza naomba tujipongeze kwa kuwa tukio la leo ni ushindi kwa Vinega kwa maana kwamba madai yetu yote ya msingi ndiyo yalikuwa msingi wa majadiliano na Ruge amekubali kuyatekeleza yote...

Kuanzia suala la studio ya rais kurudishwa kwa Basata ili iwe ya wasanii wote, pia T.F.U ijikabidhi kwa chama halali cha wasanii yaani T.U.M.A kama ambavyo tulikuwa tunadai na mpaka issue za wasanii kunyanyaswa na kubaniwa na pia suala la malipo hafifu vyote vimejadiliwa na kukubaliwa kwa utekelezaji...

Haikuwa kazi rahisi, kwanza ilianza kwa wao kumpigia Mwenyekiti wangu (wa Chadema) Mbowe kutaka tukae chini, ambapo Kamanda Mbowe alinishauri tukae nao chini kama kweli wana nia ya kuyamaliza...



Baadaye wakampigia Mr .Shigongo ambaye ni wazi kuwa ni kati ya watu wangu wa karibu naye baada ya kuongea na Mr. Kusaga tu alinipigia na kunishauri hivyo hivyo...na kama haikutosha wakalifikisha hili suala kwenye kamati ya bunge ambayo ilinitaka niipe maelezo ya kiini cha mgogoro na nikafanya hivyo ambapo pia baada ya kunielewa wakashauri nikae nao chini...na hatimaye suala hili likaishia mikononi mwa Waziri Nchimbi pamoja na Mhe. Tundu Lissu(Mb) kuwa wapatanishi wetu...

Waziri Nchimbi akaanza kwa kumuita Ruge Dodoma na alikuja tukakaa kwa hatua ya kwanza na hatimaye leo tukakaa tena makao makuu ya wizara ya utamaduni chini ya Dr. Nchimbi na Mhe Tundu Lissu na hatimaye tukafikia hatua hii ya leo...

Vita yetu ilikuwa na hoja hatukuwa tunapigana tu kwa chuki binafsi kama baadhi ya watu walivyokuwa wanajaribu kuiweka, kwahiyo kama hoja zetu zimeeleweka kwa sasa tunatakiwa kushukuru na kufurahia...lakini naomba niwahakikishie misimamo iko pale pale na nimewaweka wazi kuwa Anti-Virus itaendelea kuwepo ili kuendelea ku-scan virus wengine kama mameneja masoko na wengine watakaojitokeza kwani nchi inaposhinda vita au hata kufikia tu makubaliano ya amani na nchi adui yake haina maana nchi hiyo inavunja jeshi lake... Asanteni sana..

Monday, February 20, 2012

Monday, February 20, 2012

KIDUM NA ‘KINA RIHANNA’ WAKOLEZA MOTO DAR LIVE

Msanii kutoka nchini Burundi, Jean Pierre ‘Kidum’, akikamua na mmoja wa wasanii wa Bongo, Ummy Wenceslaus ‘Dokii’, aliyekuwa mshereheshaji wa bonanza hilo.

Baadhi ya ‘Kina Rihanna’ walioingia 12 Bora wakiwatoa udenda mashabiki.
Msanii mdogo mwenye ‘swagger’ za kiutu uzima, Hamisi Fadhili aka ‘Dogo Lila’, akiimb
‘Kidum’, akicheza na mmoja wa mashabiki zake.a kwa mbwembwe.

Baadhi ya ‘Kina Rihanna’ walioingia 12 Bora wakiwa katika pozi.
---

MOTO mkali uliendelea kuwaka kituo cha maraha cha Dar Live huko Mbagala jijini Dar usiku wa kuamkia leo ambapo wasanii mbalimbali wa Bongo: Linex, Khadija Kopa, Alex Machejo, na makundi ya ngoma za asili ya Machozi na Mawazo Group, bendi ‘Sikinde Ngoma ya Ukae’, Dogo Lila na msanii Kidum kutoka nchini Burundi, wote hao walikamua sambamba na washiriki wa shindano la ‘Vaa, Imba na Cheza,Kama Rihanna’ na kuufanya umati mkubwa ulifoka hapo kupata burudani isiyopimika katika hali yoyote.

Wasanii hao walitumbuiza kwenye Family Day Bonanza ambalo hufanyika kila siku ya Jumapili chini ya usimamizi wa uongozi wa kituo hicho cha Dar Live kilichopo Mbagala-Zakheem jijini Dar es Salaam
Mkasa huu utaupata hivi punde ama soma gazeti la Amani wiki hii  AJICHOMA KISU SHINGONI
Mwanamke ambae bado hajafahamika jina wala anakoishi katika mkoa wa Iringa akiwa hoi baada ya kujichoma kisu shingoni mwenyewe kwa kile kinachodaiwa kuwa ni baada ya mwenyeji wake kumkimbia na kujificha chooni kukwepa kuuwawa na mwanamke huyo asubuhi ya leo eneo la Frelimo mjini Iringa(picha zinatisha sana naomba radhi kwa usumbufu )
Hapa akikimbizwa hospitali ya mkoa na askari polisi waliofika kunusuru maisha yake


TASWIRA ZA MISA YA KUMUAGA MPENDWA WETU, CHRISTAVINA CRYOR NCHINI MAREKANI...!!!

Pastor Alan Desilver akiendesha ibada ya kumuaga mpendwa wetu, Christavina Cryor kwenye kanisa la Seventh Day Adventist, lililopo Takoma Park, Maryland, Mtaa wa Carroll
Mume wa Marehemu, Lavorn Cryor akiongea machache kuhusu Christavina huku akiwa amembeba mtoto wao mdogo ambae alifikisha miaka 2 siku mbili baada ya kifo cha mama yake
Kaka ya Marehemu, Boaz Kusaga akiongea machache kuhusu Christavina
Michelle Hyason, mfanyakazi mwenzake na marehemu akiongea machache kuhusu Christavina
Shukurani Magoma, shemeji ya marehemu akisoma wasifu wa Christavina
Kutoka kushoto ni Ghati Matinyi, Vickie Keita na Deborah Chemkaka wakiimba wimbo maalum kwa ajili ya marehem
Kushoto ni Mama mzazi wa Christavina aliyekuja toka Tanzania akiwa pamoja na Mume wa marehemu, Lavorn Cryoru
Kushoto ni Dada ya marehemu akiwa amembeba mwanae, mtoto wa kwanza wa Christavina wakiwa pamoja na mdogo wa marehemu.

Sunday, February 19, 2012

Mzee wa Kimasai mkazi wa Longido akimshukuru na kumuombea dua njema Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete baada ya mzee huyo kukabidhiwa ng’ombe watano na mbuzi watano wilayani Longido jana.Mzee huyo ni mmoja wa wafugaji walipoteza mifugo yao yote kufuatia ukame mkali uliozikumba wilaya za Longido,Ngorongoro naMonduli.Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya wakazi wa wilaya Longido muda mfupi baada ya kuwasili wilayani hapo ambapo aliongoza shughuli ya kutoa msaada wa ng’ombe zaidi ya elfu ishirini na tano na mbuzi zaidi ya elfu kumi na tano kwa wakazi wa wilaya za Longido,Ngorongoro na Monduli ambao mifugo yao yote iliangamia wakati wa kiangazi kikali.(Mwanafunzi Godlisten Ole Olais anayesoma kidato cha pili katika shule ya Sekondari ya Longido akiteta jambo na Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya Rais Kikwete kuwasili katika viwanja vya sekondari hiyo kuongoza uzinduzi wa wa mradi wa serikali wa uwezeshaji mifugo(seed stock) kwa kaya za wafugaji waliopoteza mifugo yote kutokana na ukame msimu wa 2008-2009 na 2009-2010 zilizofanyika wilayani longidojumapili. Viongozi wa kabila la Kimasai(Laigwenani) wakimpa Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete zana za kijadi za uongozi mkuki na fimbo wakati wa hafla ya kukabidhi ng’ombe iliyofanyika wilayani Longido jumapili.Viongozi wa kabila la Kimasai(Laigwenani) wakimpa Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete zana za kijadi za uongozi mkuki na fimbo wakati wa hafla ya kukabidhi ng’ombe iliyofanyika wilayani Longido jumapili
TODAY IS THE LAST DAY TO SEE WHITNEY HUSTON IN THIS WORLD....TOMORROW IS YOU....SO PRAY AND REMEMBER GOD EVERY SECOND....PREPARE YOUR NEW HOUSE TO GOD



They sang, they cried and they remembered Whitney Houston, the soulful singer who once wowed the congregation at New Hope Baptist Church in New Jersey, before she became a music icon, and a worldwide sensation.


Some of the biggest names in the entertainment industry joined Houston’s friends and family for her funeral at the same church where she first made her name, to remember the life of the woman who sold millions of albums during her life, and touched millions more with her booming voice.“You wait for a voice like that for a lifetime,” said music mogul Clive Davis.”


The funeral service ended with one of Houston’s most popular songs, “I Will Always Love You” filling the air in the packed church.

Whitney Houston's silver casket was carried out as her greatest hit I Will Always Love You was played

Moving Images from Newark of the Funeral of the Late Whitney Elizabeth Houston
Coco For Men | February 18, 2012 | 0 Comments

Our usual post about Fashion and Lifestyle will be suspended today out of respect for the late Singer, Actress, Mother, and Legend Whitney Elizabeth Houston we will keep her memory alive by showing the images from Newark, NJ of her Funeral.

WHITNEY ELIZABETH HOUSTON 1963-2012


--------------------------------------------
BOBBY BROWN ...........
............... stormed out of ex-wife Whitney Houston's funeral 'over seating dispute'