Watu mbalimbali wakimsikiliza Waziri Mkuu
MAELEZO




Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na madaktari leo baada ya kuwataka kurejea kazini ili kuwahudumia Watanzania katika Ukumbi wa mkutano wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili

Baadhi ya madaktari wakiwa katika mkutano wao wa kujadili kuhusu kurudi kazini mara baada ya Waziri Mkuu Mizengo kuondoka katika ukumbi wa mikutano wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili

Baadhi madaktari wakifurahia Kauli iliyotolewa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika mkutano wao na katika ukumbi wa mikutano wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) leo
No comments:
Post a Comment