


Haya ndio maandamano yanayoendelea sasa hivi Palm Beach Dar es salaam, yanawahusisha wagonjwa na wanaharakati kuhusu hali ya hospitali ya Muhimbili, nitaendelea kuweka picha nyingine kadri zinavyonifikia

Bi Annanilea Nkya(Kulia)na kijo Bisimba wa pili Kushoto wakiwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbli jijini Dar es Salaam Kujionea hali halisi na athari za Mgomo wa Madakatari unaondelea Nchini.Picha na Habari Legal and Human Rights Centre

Sehemu ya Mapokezi ya Hospitali ya taifa ya muhimbili ikiwa tupu

Chumba cha Wagonjwa kikiwa kitupu


Ndugu na Jamaa wakiwa kwenye harakati za kumwamisha Mgonjwa wao kutoka hospitali ya Taifa ya muhimbili kufwatia mgomo Mkubwa wa Madaktari

Ndugu na Jamaa wakiwa kwenye harakati za kumwamisha Mgonjwa wao kutoka hospitali ya Taifa ya muhimbili kufwatia mgomo Mkubwa wa Madaktari

Ndugu na Jamaa wakiwa kwenye harakati za kumwamisha Mgonjwa wao kutoka hospitali ya Taifa ya muhimbili


Mama Kijo Bisimba-LHRC Mkurugenzi nae akiwa kwenye maadamano hayo ya wanaharakati muda mfupi uliopita jijini Dar es Salaam




No comments:
Post a Comment