Wafanyabiashara wadogo wajulikanao kama wamachinga wakiwa wamepanga bidhaa zao katia kituo cha kidogo cha mabasi Ubungo kama unavyoona mwenyewe, kwa sasa biashara hiyo imeshamili sana mpaka wahusika wamejisahau kabisa sijui serikali inafanyaje kuhusu watu hawa???
Wafanyabiashara wengine walikuwa wanafanya minada
...Dah! kila kitu kinapatikana hakuna haja ya kwenda sokoni ama kwenye maduka
....Samaki nao wapo
Ehe! wengine ndiyo walikuwa wanapanga bidhaa yani kumekucha
...Mboga mboga na viazi navyo vinapatikana bila kujali eneo lenyewe
...Ni vyema serikali yetu kuliangalia suala hili ili kunusuru eneo hilo.
Mambo ya siku ya Valentine kama unavyoona wamachinga wakiwa wamepanga maua katika eneo la Ubungo mataa jijini Dar es Salaam
Wanafunzi wakichangua maua ili kuwapelekea wapendwa wao, siku ya leo watu wengi huwa wananunua maua na kadi siku hii ili kuwapelekea watu wawapendao kama walivyokamatwa na kamera yetu leo katika eneo la Ubungo jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment