Mpoki Bepari La
Kihaya - mwarabu wa dubai (Rick Ross wa sasa)Kushoto,hapa kikubwa ni cha chini
alichotupia msanii Macregan (kulia)
Pozy la Msanii
Wakuvanga aka Baba Andunje (kulia)ama kwa hakika jamaa hawa wapo vizuri katika
hii fani
Mh.Kamote Mkuu wa
Wilaya kushoto na Mh. Anatory Aman Meya wa Manispaa ya Bukoba wakifatilia
Onyesho kwa ukaribu.
Andunje aka Joti in
Action
Mdau pichani ni
Jeanifer Murungi Kichwabuta
Mdau Peter Matagi
akiwa hana mbavu na swaggar za Msanii Masanja Mkandamizaji
Ukipenda unaweza
kumuita Bebari la Kihaya jina halisi ni Mjuni Silvesta maarufu kama Mpoki wa
Orginal Comedy akimkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Kagera kufungua rasmi alambee ya
Ujenzi wa Kanisa
Msanii MACREGAN
ukipenda unaweza kumuita Kipara aka (Shemeejiii) au mzee wa tuendeleeeeee
akifanya mambo yake jukwaani.
No comments:
Post a Comment